1 Samuel 14:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata Waisraeli wengine waliokuwa wamejificha kwenye nchi ya milima ya Efraimu, waliposikia kuwa Wafilisti walikuwa wanakimbia, nao pia wakawafuatia na kuwapiga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wote waliokuwa wamejificha katika nchi ya vilima ya Efraimu waliposikia kuwa Wafilisti wamekimbia, wakajiunga vitani na kuwafuata kwa bidii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vile vile watu wote wa Israeli waliokuwa wamejificha katika nchi ya milima milima ya Efraimu, waliposikia ya kwamba Wafilisti wamekimbia, hata hao nao wakawafuatia mbio vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata Waisraeli wengine waliokuwa wamejificha kwenye nchi ya milima ya Efraimu, waliposikia kuwa Wafilisti walikuwa wanakimbia, nao pia wakawafuatia na kuwapiga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wote waliokuwa wamejificha katika nchi ya milima ya Efraimu waliposikia kuwa Wafilisti wamekimbia, wakajiunga vitani na kuwafuata kwa bidii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wote waliokuwa wamejificha katika nchi ya milima ya Efraimu waliposikia kuwa Wafilisti wamekimbia, wakajiunga vitani na kuwafuata kwa bidii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vile vile watu wote wa Israeli waliokuwa wamejificha katika nchi ya milima milima ya Efraimu, waliposikia ya kwamba Wafilisti wamekimbia, hata hao nao wakawafuatia mbio vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata Waisraeli wengine waliokuwa wamejificha kwenye nchi ya milima ya Efraimu, waliposikia kuwa Wafilisti walikuwa wanakimbia, nao pia wakawafuatia na kuwapiga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata Waisiraeli wote waliojificha mlimani kwa Efuraimu waliposikia, ya kuwa Wafilisti wamekimbizwa, wakaja kuandamana nao wenye kuwafukuza Wafilisti vitani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vile vile watu wote wa Israeli waliokuwa wamejificha katika nchi ya milima milima ya Efraimu, waliposikia ya kwamba Wafilisti wamekimbia, hata hao nao wakawafuatia mbio vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata Waisraeli wengine waliokuwa wamejificha kwenye inchi ya milima ya Efuraimu, waliposikia kwamba Wafilistini walikuwa wanakimbia, nao vilevile wakawafuatilia na kuwapiga.