1 Samuel 14:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo Mwenyezi-Mungu aliwapa Waisraeli ushindi. Vita vilienea mpaka kupita Beth-aveni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Mwenyezi Mungu akawaokoa Waisraeli siku ile, navyo vita vilienea hadi kupita Beth-Aveni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo Bwana akawaokoa Israeli siku ile; na vita vikapita mbele karibu na Beth-aveni. Wakati huo mbele ya wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo Mwenyezi-Mungu aliwapa Waisraeli ushindi. Vita vilienea mpaka kupita Beth-aveni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo BWANA akawaokoa Waisraeli siku ile, navyo vita vilienea hadi kupita Beth-Aveni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo bwana akawaokoa Waisraeli siku ile, navyo vita vilienea hadi kupita Beth-Aveni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo BWANA akawaokoa Israeli siku ile; na vita ilienea mpaka kupita Beth-aveni, na watu wote waliokuwa pamoja na Sauli walikuwa kama wanaume elfu kumi. Vita ikaenea katika nchi yenye milima milima ya Efraimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo Mwenyezi-Mungu aliwapa Waisraeli ushindi. Vita vilienea mpaka kupita Beth-aveni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo Bwana akawaokoa Waisiraeli siku hiyo; nayo mapigano yakaendelea kufika hata Beti-Aweni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo BWANA akawaokoa Israeli siku ile; na vita vikapita mbele karibu na Beth-aveni. Wakati huo mbele ya wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo Yawe aliwapa Waisraeli ushindi. Vita ilienea mpaka kupita Beti-Aweni.