1 Samuel 14:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote walipofika sehemu yenye msitu, walikuta asali kila mahali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jeshi lote liliingia mwituni, na huko kulikuwa na asali juu ya ardhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watu wote wakaingia mwituni; na humo mlikuwa na asali juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote walipofika sehemu yenye msitu, walikuta asali kila mahali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jeshi lote liliingia mwituni, na huko kulikuwepo na asali ardhini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jeshi lote liliingia mwituni, na huko kulikuwepo na asali ardhini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watu wote wakaingia mwituni; na humo mlikuwa na asali juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote walipofika sehemu yenye msitu, walikuta asali kila mahali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote wa huko walipoingia mwituni, basi, kukawa na asali huko porini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watu wote wakaingia mwituni; na humo mlikuwa na asali juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote walipofika katika pori, walikuta asali iliyosambaa hata chini kwenye udongo.