1 Samuel 14:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingawa watu walipofika msituni na kukuta asali ikidondoka kila mahali hakuna mtu aliyethubutu kula asali hiyo kwa kuogopa kile kiapo walichoapishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipoingia mwituni, wakaona asali ikitiririka, hata hivyo hakuna mtu yeyote aliyetia mkono wake kinywani, kwa sababu waliogopa kiapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hapo watu walipokwisha kuingia mwituni, tazama, hiyo asali ilikuwa ikidondoka; walakini hakuna mtu hata mmoja aliyetia mkono wake kinywani; kwa sababu hao watu walikuwa wakikiogopa kile kiapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingawa watu walipofika msituni na kukuta asali ikidondoka kila mahali hakuna mtu aliyethubutu kula asali hiyo kwa kuogopa kile kiapo walichoapishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipoingia mwituni, wakaona asali ikitiririka, hata hivyo hakuna mtu ye yote aliyetia mkono wake kinywani, kwa sababu waliogopa kiapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipoingia mwituni, wakaona asali ikitiririka, hata hivyo hakuna mtu yeyote aliyetia mkono wake kinywani, kwa sababu waliogopa kiapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hapo watu walipoingia mwituni, tazama, hiyo asali ilikuwa ikidondoka; lakini hakuna mtu hata mmoja aliyetia mkono wake kinywani; kwa sababu hao watu walikuwa wakikiogopa kile kiapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingawa watu walipofika msituni na kukuta asali ikidondoka kila mahali hakuna mtu aliyethubutu kula asali hiyo kwa kuogopa kile kiapo walichoapishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote walipoingia mle mwituni, wakaona, asali inavyomwagika, lakini hakuwako mtu aliyeukunjua mkono wake kuipeleka kinywani mwake, kwani watu walikiogopa hicho kiapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hapo watu walipokwisha kuingia mwituni, tazama, hiyo asali ilikuwa ikidondoka; walakini hakuna mtu hata mmoja aliyetia mkono wake kinywani; kwa sababu hao watu walikuwa wakikiogopa kile kiapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa watu walipofika katika pori na kukuta asali ikidondoka kila nafasi, hakuna mutu aliyesubutu kula asali hiyo kwa kuogopa kile kiapo walichoapishwa.