1 Samuel 14:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani akajibu, “Baba yangu anawasumbua watu. Sasa mimi najisikia kuwa na nguvu kwa kuwa nimeonja asali hii kidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani akasema, “Baba yangu ameitaabisha nchi. Ona jinsi macho yangu yalipata kuangaa nilipoonja asali hii kidogo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yonathani akasema, Babangu ameifadhaisha nchi; tafadhali, angalia jinsi macho yangu yalivyotiwa nuru, kwa sababu nalionja asali hii kidogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani akajibu, “Baba yangu anawasumbua watu. Sasa mimi najisikia kuwa na nguvu kwa kuwa nimeonja asali hii kidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani akasema, “Baba yangu ameitaabisha nchi. Ona jinsi nilivyopata nguvu mpya nilipoonja asali hii kidogo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani akasema, “Baba yangu ameitaabisha nchi. Ona jinsi nilivyopata nguvu mpya nilipoonja asali hii kidogo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yonathani akasema, Babangu ameifadhaisha nchi; tafadhali, angalia jinsi macho yangu yalivyotiwa nuru, kwa sababu nilionja asali hii kidogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani akajibu, “Baba yangu anawasumbua watu. Sasa mimi najisikia kuwa na nguvu kwa kuwa nimeonja asali hii kidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yonatani akasema: Baba yangu anaiponza nchi hii. Nitazameni, macho yangu yanavyong'aa kwa kuwa nimeionja asali hii kidogo tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yonathani akasema, Babangu ameifadhaisha nchi; tafadhali, angalia jinsi macho yangu yalivyotiwa nuru, kwa sababu nalionja asali hii kidogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani akajibu: “Baba yangu anawasumbua watu. Sasa mimi ninajisikia kuwa na nguvu kwa sababu nimeonja asali hii kidogo.