1 Samuel 14:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama tu askari wetu wangeweza kula kidogo kutoka nyara walizoteka kutoka kwa adui zao, wengi zaidi wa Wafilisti wangaliuawa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingekuwa bora zaidi mara ngapi kama watu wangekula leo baadhi ya nyara walizoteka kutoka kwa adui zao. Je, mauaji ya Wafilisti yasingekuwa makubwa zaidi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Si zaidi sana, kama watu wangalikula na kushiba leo katika nyara hizi za adui zao walizoziteka? Kwa maana haukuwa uuaji mkuu sasa katikati ya Wafilisti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama tu askari wetu wangeweza kula kidogo kutoka nyara walizoteka kutoka kwa adui zao, wengi zaidi wa Wafilisti wangaliuawa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingekuwa bora zaidi mara ngapi kama watu wangalikula leo baadhi ya nyara walizoteka kutoka kwa adui zao. Je, mauaji ya Wafilisti yasingekuwa makubwa zaidi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingekuwa bora zaidi mara ngapi kama watu wangalikula leo baadhi ya nyara walizoteka kutoka kwa adui zao. Je, mauaji ya Wafilisti yasingekuwa makubwa zaidi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Si ingekuwa bora zaidi kama watu wangalikula na kushiba leo katika nyara hizi za adui zao walizoziteka? Kwa maana haukuwa uuaji mkuu sasa katikati ya Wafilisti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama tu askari wetu wangeweza kula kidogo kutoka nyara walizoteka kutoka kwa adui zao, wengi zaidi wa Wafilisti wangaliuawa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama watu wangalikula leo nyara za adui zao, walizoziona, wangezidisha kazi, lakini sasa mapigo yao ya kuwapiga Wafilisti si mengi sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Si zaidi sana, kama watu wangalikula na kushiba leo katika nyara hizi za adui zao walizoziteka? Kwa maana haukuwa uuaji mkuu sasa katikati ya Wafilisti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama tu waaskari wetu wangeweza kula kidogo kutoka vitu walivyoteka kutoka kwa waadui zao, wengi zaidi kati ya Wafilistini wangaliuawa.”