1 Samuel 14:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi walikimbilia nyara walizoteka, wakawachukua wanakondoo, fahali na ndama, wakachinja, wakala nyama na damu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wakarukia zile nyara, wakichukua kondoo, ng’ombe na ndama, wakawachinja hapo juu ya nchi na kuwala, pamoja na damu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watu wakazirukia zile nyara, wakatwaa kondoo, na ng'ombe, na ndama, na kuwachinja papo hapo juu ya nchi, nao wale watu walikuwa wakiwala pamoja na damu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi walikimbilia nyara walizoteka, wakawachukua wanakondoo, fahali na ndama, wakachinja, wakala nyama na damu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wakarukia zile nyara, wakichukua kondoo, ng'ombe na ndama, wakawachinja hapo juu ya nchi na kuwala, pamoja na damu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wakarukia zile nyara, wakichukua kondoo, ng’ombe na ndama, wakawachinja hapo juu ya nchi na kuwala, pamoja na damu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi watu wakazirukia zile nyara, wakatwaa kondoo, na ng'ombe, na ndama, na kuwachinja papo hapo juu ya nchi, nao wale watu walikuwa wakiwala pamoja na damu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi walikimbilia nyara walizoteka, wakawachukua wanakondoo, fahali na ndama, wakachinja, wakala nyama na damu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu walipozirukia hizo nyara, wakachukua mbuzi na kondoo na ng'ombe na ndama, wakawachinja papo hapo, nao watu wakawala pamoja na damu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu wakazirukia zile nyara, wakatwaa kondoo, na ng’ombe, na ndama, na kuwachinja papo hapo juu ya nchi, nao wale watu walikuwa wakiwala pamoja na damu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi walikimbilia vitu walivyoteka, wakatwaa wana-kondoo, ngombe dume na wana-ngombe, wakachinja, wakakula nyama na damu.