1 Samuel 14:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai na ambaye huiokoa Israeli, hata kama ni mwanangu Yonathani, lazima auawe.” Lakini hakuna mtu aliyesema neno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hakika kama Mwenyezi Mungu aiokoaye Israeli aishivyo, hata kama itakuwa kwa mwana wangu Yonathani, ni lazima afe.” Lakini hakuna mtu yeyote aliyesema neno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana, aishivyo Bwana, awaokoaye Israeli, ijapokuwa i katika Yonathani, mwanangu, kufa atakufa. Lakini miongoni mwa watu wote hakuna mtu ye yote aliyemjibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai na ambaye huiokoa Israeli, hata kama ni mwanangu Yonathani, lazima auawe.” Lakini hakuna mtu aliyesema neno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hakika kama BWANA aiokoaye Israeli aishivyo, hata kama itakuwa juu ya mwana wangu Yonathani, ni lazima afe.” Lakini hakuna mtu ye yote aliyesema neno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hakika kama bwana aiokoaye Israeli aishivyo, hata kama itakuwa juu ya mwana wangu Yonathani, ni lazima afe.” Lakini hakuna mtu yeyote aliyesema neno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana, kama aishivyo BWANA, awaokoaye Waisraeli, hata ikiwa iko kwa Yonathani, mwanangu, hakika atakufa. Lakini miongoni mwa watu wote hakuna mtu yeyote aliyemjibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai na ambaye huiokoa Israeli, hata kama ni mwanangu Yonathani, lazima auawe.” Lakini hakuna mtu aliyesema neno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo, Bwana aliyewaokoa Waisiraeli alivyo Mwenye uzima, ijapo awe mwanangu Yonatani mwenyewe, hana budi kuuawa kabisa! Kwao watu wote hakuna aliyejibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana, aishivyo BWANA, awaokoaye Israeli, ijapokuwa i katika Yonathani, mwanangu, kufa atakufa. Lakini miongoni mwa watu wote hakuna mtu ye yote aliyemjibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile Yawe Mwokozi wa Israeli anavyoishi, hata kama ni mwana wangu Yonatani anapaswa kuuawa.” Lakini hakuna mutu aliyesema neno.