1 Samuel 14:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwenye kipito ambako Yonathani alipaswa apitie ili afike kwenye ngome ya Wafilisti, kulikuwa na miamba miwili iliyochongoka, upande huu na upande mwingine. Mwamba mmoja uliitwa Bosesi na mwingine uliitwa Sene.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila upande wa njia ambayo Yonathani alikusudia kupita ili kuvuka kufikia doria ya Wafilisti kulikuwa na jabali; moja lilikuwa linaitwa Bosesi, na jingine Sene.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katikati ya mianya, ambayo Yonathani alitaka kuipitia ili kuifikilia hiyo ngome ya Wafilisti, palikuwa na genge la jabali upande huu, na genge la jabali upande huu; jina la moja liliitwa Bosesi, na jina la pili Sene.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwenye kipito ambako Yonathani alipaswa apitie ili afike kwenye ngome ya Wafilisti, kulikuwa na miamba miwili iliyochongoka, upande huu na upande mwingine. Mwamba mmoja uliitwa Bosesi na mwingine uliitwa Sene.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila upande wa njia ambayo Yonathani alikusudia kupita ili kuvuka kufikia doria ya Wafilisti kulikuwepo na jabali, jabali moja lilikuwa linaitwa Bosesi na jingine Sene.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila upande wa njia ambayo Yonathani alikusudia kupita ili kuvuka kufikia doria ya Wafilisti kulikuwepo na jabali; moja lilikuwa linaitwa Bosesi, na jingine Sene.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katikati ya mianya, ambayo Yonathani alitaka kuipitia ili kuifikia hiyo ngome ya Wafilisti, palikuwa na kilima cha mwamba upande huu, na kilima cha mwamba upande huu; kimoja kiliitwa Bosesi, na cha pili Sene.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwenye kipito ambako Yonathani alipaswa apitie ili afike kwenye ngome ya Wafilisti, kulikuwa na miamba miwili iliyochongoka, upande huu na upande mwingine. Mwamba mmoja uliitwa Bosesi na mwingine uliitwa Sene.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo magemani, Yonatani alipotafua njia ya kupitita, afike kwa Wafilisti waliongoja zamu hapo, palikuwa na jino la mwamba upande wa huku na jino jingie la mwamba upande wa huko, jina lake moja ni Bosesi, jina lake la pili Sene.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katikati ya mianya, ambayo Yonathani alitaka kuipitia ili kuifikilia hiyo ngome ya Wafilisti, palikuwa na genge la jabali upande huu, na genge la jabali upande huu; jina la moja liliitwa Bosesi, na jina la pili Sene.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenye mapito ya mulima ambako Yonatani alipaswa kuvukia kusudi afike kwenye kambi ya Wafilistini, kulikuwa chongo mbili, upande mumoja na upande mwingine. Chongo moja iliitwa Bozezi na ingine iliitwa Sene.