1 Samuel 14:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli akasema, “Mungu na anitendee mimi vivyo hivyo na hata na wengine. Yonathani ni lazima utauawa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akasema, “Mungu na aniadhibu vikali zaidi kama wewe Yonathani hutakufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sauli akasema, Mungu anifanyie hivi, na kuzidi; kwa kuwa hakika utakufa, Yonathani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli akasema, “Mungu na anitendee mimi vivyo hivyo na hata na wengine. Yonathani ni lazima utauawa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akasema, “Mungu na anishughulikie kwa ukali zaidi kama wewe Yonathani hutakufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akasema, “Mungu na anishughulikie kwa ukali zaidi kama wewe Yonathani hutakufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sauli akasema, Mungu anifanyie hivi, na kuzidi; kwa kuwa hakika utakufa, Yonathani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli akasema, “Mungu na anitendee mimi vivyo hivyo na hata na wengine. Yonathani ni lazima utauawa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akasema: Mungu na anifanyizie hivi na hivi, wewe Yonatani usipokufa kweli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sauli akasema, Mungu anifanyie hivi, na kuzidi; kwa kuwa hakika utakufa, Yonathani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akasema: “Mungu aniue ikiwa Yonatani hatauawa.”