1 Samuel 14:46 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Shauli aliacha kuwafuatia Wafilisti, nao Wafilisti wakarudi makwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Sauli akaacha kuwafuata Wafilisti, nao wakajiondoa na kurudi katika nchi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sauli akakwea kuacha kuwafuata Wafilisti; nao Wafilisti wakaenda zao kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Shauli aliacha kuwafuatia Wafilisti, nao Wafilisti wakarudi makwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Sauli akaacha kuwafuata Wafilisti, nao wakajiondoa na kurudi katika nchi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Sauli akaacha kuwafuata Wafilisti, nao wakajiondoa na kurudi katika nchi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sauli akakwea kuacha kuwafuata Wafilisti; nao Wafilisti wakaenda zao kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Shauli aliacha kuwafuatia Wafilisti, nao Wafilisti wakarudi makwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Sauli akaacha kuwafuata Wafilisti, akapanda kwenda zake; nao Wafilisti wakaenda zao kwao, walikokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sauli akakwea kuacha kuwafuata Wafilisti; nao Wafilisti wakaenda zao kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Saulo aliacha kuwafuatilia Wafilistini, nao Wafilistini wakarudi kwao.