1 Samuel 14:48 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipigana kwa uhodari, akawashinda Waamaleki. Aliwaokoa Waisraeli kutoka kwa watu wote waliowashambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akapigana kishujaa na kuwashinda Waamaleki, akiikomboa Israeli kutoka mikono ya wale waliokuwa wamewateka nyara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akatenda kwa ushujaa, akawapiga Waamaleki, na kuwaokoa Waisraeli katika mikono yao waliowateka nyara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipigana kwa uhodari, akawashinda Waamaleki. Aliwaokoa Waisraeli kutoka kwa watu wote waliowashambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akapigana kishujaa na kuwashinda Waamaleki, akiikomboa Israeli kutoka katika mikono ya wale ambao walikuwa wamewateka nyara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akapigana kishujaa na kuwashinda Waamaleki, akiikomboa Israeli kutoka mikono ya wale waliokuwa wamewateka nyara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye kwa ushujaa, akawapiga Waamaleki, na kuwaokoa Waisraeli kutoka katika mikono ya waliowateka nyara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipigana kwa uhodari, akawashinda Waamaleki. Aliwaokoa Waisraeli kutoka kwa watu wote waliowashambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo akaendelea kupata nguvu, akawapiga Waamaleki, akawaponya Waisiraeli mwao waliowanyang'anya mali zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akatenda kwa ushujaa, akawapiga Waamaleki, na kuwaokoa Waisraeli katika mikono yao waliowateka nyara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipigana kwa uhodari, akawashinda Waamaleki. Aliwaokoa Waisraeli kutokana na watu wote waliowashambulia.