1 Samuel 14:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwamba mmoja ulikuwa kaskazini mwa mji wa Mikmashi na mwingine ulikuwa kusini mkabala na mji wa Gibea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jabali moja lilisimama kaskazini kuelekea Mikmashi na jingine upande wa kusini kuelekea Geba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hilo genge moja limesimama upande wa kaskazini, mbele ya Mikmashi, na hilo la pili upande wa kusini, mbele ya Geba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwamba mmoja ulikuwa kaskazini mwa mji wa Mikmashi na mwingine ulikuwa kusini mkabala na mji wa Gibea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jabali moja lilisimama kaskazini kuelekea Mikmashi na jingine upande wa kusini kuelekea Geba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jabali moja lilisimama kaskazini kuelekea Mikmashi na jingine upande wa kusini kuelekea Geba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hicho kilima kimoja kimesimama upande wa kaskazini, mbele ya Mikmashi, na hicho cha pili upande wa kusini, mbele ya Geba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwamba mmoja ulikuwa kaskazini mwa mji wa Mikmashi na mwingine ulikuwa kusini mkabala na mji wa Gibea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Genge moja likasimama sawa upande wa kaskazini kuelekea Mikimasi, la pili upande wa kusini kuelekea Geba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hilo genge moja limesimama upande wa kaskazini, mbele ya Mikmashi, na hilo la pili upande wa kusini, mbele ya Geba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chongo moja ilikuwa upande wa kaskazini wa muji wa Mikimasi na ingine ilikuwa upande wa kusini kuelekea muji wa Gibea.