1 Samuel 14:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkewe Shauli aliitwa Ahinoamu binti Ahimaasi. Kamanda wa jeshi la Shauli aliitwa Abneri, mwana wa Neri, mjomba wa Shauli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jina la mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu binti Ahimaasi. Jina la jemadari wa jeshi la Sauli aliitwa Abneri mwana wa Neri, naye Neri alikuwa babaye mdogo Sauli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na jina lake mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu, binti Ahimaasi. Tena, jina la jemadari wa jeshi lake aliitwa Abneri, mwana wa Neri, aliyekuwa baba mdogo wa Sauli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkewe Shauli aliitwa Ahinoamu binti Ahimaasi. Kamanda wa jeshi la Shauli aliitwa Abneri, mwana wa Neri, mjomba wa Shauli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jina la mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu binti wa Ahimaasi. Jina la jemadari wa jeshi la Sauli aliitwa Abneri mwana wa Neri, naye Neri alikuwa babaye mdogo Sauli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jina la mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu binti wa Ahimaasi. Jina la jemadari wa jeshi la Sauli aliitwa Abneri mwana wa Neri, naye Neri alikuwa babaye mdogo Sauli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na jina lake mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu, binti Ahimaasi. Tena, jina la jemadari wa jeshi lake aliitwa Abneri, mwana wa Neri, aliyekuwa baba mdogo wa Sauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkewe Shauli aliitwa Ahinoamu binti Ahimaasi. Kamanda wa jeshi la Shauli aliitwa Abneri, mwana wa Neri, mjomba wa Shauli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mkewe Sauli jina lake ni Ahinoamu, binti Ahimasi, nalo jina la mkuu wa vikosi vyake ni Abineri, mwana wa Neri aliyekuwa baba mdogo wa Sauli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na jina lake mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu, binti Ahimaasi. Tena, jina la jemadari wa jeshi lake aliitwa Abneri, mwana wa Neri, aliyekuwa baba mdogo wa Sauli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muke wa Saulo aliitwa Ahinoamu binti ya Ahimasi. Jemadari wa makundi ya waaskari wa Saulo aliitwa Abeneri mwana wa Neri, baba mudogo wa Saulo.