1 Samuel 14:51 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba wa Shauli alikuwa Kishi na baba wa Abneri alikuwa Neri mwana wa Abieli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Babaye Sauli, yaani Kishi, na Neri baba yake Abneri walikuwa wana wa Abieli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Kishi, babaye Sauli, na Neri, babaye Abneri, walikuwa wana wa Abieli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba wa Shauli alikuwa Kishi na baba wa Abneri alikuwa Neri mwana wa Abieli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Babaye Sauli yaani, Kishi na Neri baba yake Abneri walikuwa wana wa Abieli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Babaye Sauli yaani, Kishi na Neri baba yake Abneri walikuwa wana wa Abieli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Kishi, babaye Sauli, na Neri, babaye Abneri, walikuwa wana wa Abieli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba wa Shauli alikuwa Kishi na baba wa Abneri alikuwa Neri mwana wa Abieli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani Kisi, babake Sauli, na Neri, babake Abineri, walikuwa wana wa Abieli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Kishi, babaye Sauli, na Neri, babaye Abneri, walikuwa wana wa Abieli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba wa Saulo aliitwa Kisi na baba wa Abeneri aliitwa Neri mwana wa Abieli.