1 Samuel 14:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule kijana aliyembebea silaha akamwambia, “Fanya chochote unachotaka kufanya, mimi niko pamoja nawe kwani wazo lako ndilo wazo langu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbeba silaha wake akamwambia, “Fanya yale yote uliyo nayo katika moyo wako. Songa mbele; moyo wangu na roho yangu viko pamoja nawe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye huyo mchukua silaha akamjibu, Fanya yote yaliyomo moyoni mwako; angalia, mimi hapa ni pamoja nawe, moyo wangu ni kama moyo wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule kijana aliyembebea silaha akamwambia, “Fanya chochote unachotaka kufanya, mimi niko pamoja nawe kwani wazo lako ndilo wazo langu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbeba silaha wake akamwambia, “Fanya yale yote uliyonayo katika moyo wako. Songa mbele; moyo wangu na roho yangu viko pamoja nawe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbeba silaha wake akamwambia, “Fanya yale yote uliyo nayo katika moyo wako. Songa mbele; moyo wangu na roho yangu viko pamoja nawe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye huyo mbebaji silaha akamjibu, Fanya yote yaliyomo moyoni mwako; angalia, mimi hapa ni pamoja nawe, moyo wangu ni kama moyo wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule kijana aliyembebea silaha akamwambia, “Fanya chochote unachotaka kufanya, mimi niko pamoja nawe kwani wazo lako ndilo wazo langu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchukua mata yake akamwambia: Yafanye yote yaliyomo moyoni mwako! Jielekeze kwenda kwao! Tazama, niko pamoja na wewe po pote, moyo wako unapotaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye huyo mchukua silaha akamjibu, Fanya yote yaliyomo moyoni mwako; angalia, mimi hapa ni pamoja nawe, moyo wangu ni kama moyo wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule kijana aliyemubebea silaha akamwambia: “Fanya chochote unachotaka kufanya, mimi niko pamoja nawe maana wazo lako ndilo wazo langu.”