1 Samuel 14:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani akamwambia, “Tutavuka kuwaendea wale watu ili wapate kutuona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani akasema, “Basi njoo; tutavuka kuwaelekea hao watu na kuacha watuone.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yonathani akasema, Tazama, sisi tutawavukia watu hawa, na kujidhihirisha kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani akamwambia, “Tutavuka kuwaendea wale watu ili wapate kutuona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani akasema, “Basi njoo; tutavuka kuwaelekea hao watu na kuacha watuone.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani akasema, “Basi njoo; tutavuka kuwaelekea hao watu na kuacha watuone.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yonathani akasema, Tazama, sisi tutavuka kwa watu hawa, na kujidhihirisha kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani akamwambia, “Tutavuka kuwaendea wale watu ili wapate kutuona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yonatani akasema: Tazama! Tukipita kwenda kwao hao watu, tutaonwa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yonathani akasema, Tazama, sisi tutawavukia watu hawa, na kujidhihirisha kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani akamwambia: “Tutavuka kuwaendea wale watu kusudi wapate kutuona.