1 Samuel 14:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama wakituambia tuwangoje, hadi waje hapa tulipo basi, tutasimama papa hapa na wala hatutawaendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakituambia, ‘Subirini hapo hadi tuje kwenu,’ tutakaa pale tulipo na hatutakwea kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakituambia hivi, Ngojeni, hata sisi tuwafikilie; ndipo tusimame pale pale mahali petu, tusiwapandie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama wakituambia tuwangoje, hadi waje hapa tulipo basi, tutasimama papa hapa na wala hatutawaendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama wakituambia, ‘Subirini hapo mpaka tuje kwenu,’ tutakaa pale tulipo na hatutakwea kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama wakituambia, ‘Subirini hapo mpaka tuje kwenu,’ tutakaa pale tulipo na hatutakwea kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakituambia hivi, Ngojeni, hadi sisi tuwafikie; ndipo tusimame pale pale mahali petu, tusiwaendee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama wakituambia tuwangoje, hadi waje hapa tulipo basi, tutasimama papa hapa na wala hatutawaendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakapokuwa, watuambie: Simameni, mpaka tuwafikie karibu! tutasimama hapo chini, tusiwapandie;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakituambia hivi, Ngojeni, hata sisi tuwafikilie; ndipo tusimame pale pale mahali petu, tusiwapandie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama wakituambia tuwangojee mpaka wafike hapa tunapokuwa, basi, tutasimama hapa hapa wala hatutawaendea.