1 Samuel 15:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli alimwambia Shauli, “Mwenyezi-Mungu alinituma kukupaka mafuta uwe mfalme wa watu wake wa Israeli. Sasa sikiliza maneno ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli akamwambia Sauli, “Mimi ndiye Mwenyezi Mungu alinituma nikupake mafuta ili uwe mfalme juu ya watu wake Israeli; basi sasa sikiliza ujumbe kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo Samweli akamwambia Sauli, Bwana alinipeleka nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli alimwambia Shauli, “Mwenyezi-Mungu alinituma kukupaka mafuta uwe mfalme wa watu wake wa Israeli. Sasa sikiliza maneno ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli akamwambia Sauli, “Mimi ndiye ambaye BWANA alinituma nikutie mafuta uwe mfalme juu ya watu wake Israeli, basi sasa sikiliza ujumbe kutoka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli akamwambia Sauli, “Mimi ndiye ambaye bwana alinituma nikutie mafuta uwe mfalme juu ya watu wake Israeli, basi sasa sikiliza ujumbe kutoka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samweli akamwambia Sauli, BWANA alinituma nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli alimwambia Shauli, “Mwenyezi-Mungu alinituma kukupaka mafuta uwe mfalme wa watu wake wa Israeli. Sasa sikiliza maneno ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samweli akamwambia Sauli: Bwana alinituma, nikupake mafuta, uwe mfalme wao walio ukoo wake wa Waisiraeli. Sasa sikia maneno, Bwana aliyoyasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo Samweli akamwambia Sauli, BWANA alinipeleka nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli alimwambia Saulo: “Yawe alinituma kukupakaa mafuta kwa kukusimika kuwa mufalme wa watu wake Waisraeli. Sasa sikiliza maneno ya Yawe.