1 Samuel 15:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha neno la Mwenyezi Mungu likamjia Samweli kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo neno la Bwana likamjia Samweli, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha neno la BWANA likamjia Samweli kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha neno la bwana likamjia Samweli kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo neno la BWANA likamjia Samweli, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, neno la Bwana lilipomjia Samweli kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo neno la BWANA likamjia Samweli, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno la Yawe lilimufikia Samweli kusema hivi: