1 Samuel 15:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli alipomfikia Shauli, Shauli akamwambia Samueli, “Mwenyezi-Mungu na akubariki! Nimetekeleza amri ya Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli alipomfikia, Sauli akamwambia, “Mwenyezi Mungu akubariki! Nimetimiza yale Mwenyezi Mungu aliyoniagiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samweli akamwendea Sauli; naye Sauli akamwambia, Ubarikiwe na Bwana, nimeitimiza amri ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli alipomfikia Shauli, Shauli akamwambia Samueli, “Mwenyezi-Mungu na akubariki! Nimetekeleza amri ya Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli alipomfikia, Sauli akamwambia, “BWANA akubariki! Nimetimiza yale BWANA aliyoniagiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli alipomfikia, Sauli akamwambia, “ bwana akubariki! Nimetimiza yale bwana aliniagiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samweli akamwendea Sauli; naye Sauli akamwambia, Ubarikiwe na BWANA, nimeitimiza amri ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli alipomfikia Shauli, Shauli akamwambia Samueli, “Mwenyezi-Mungu na akubariki! Nimetekeleza amri ya Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samweli alipofika kwake Sauli, Sauli akamwambia: Ubarikiwe na Bwana! Neno la Bwana nimelitimiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samweli akamwendea Sauli; naye Sauli akamwambia, Ubarikiwe na BWANA, nimeitimiza amri ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli alipomufikia Saulo, Saulo akamwambia Samweli: “Yawe akubariki! Nimetimiza amri ya Yawe.”