1 Samuel 15:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli akamwambia, “Mbona nasikia mlio wa kondoo na ng'ombe?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Samweli akasema, “Nini basi huu mlio wa kondoo masikioni mwangu? Huu mlio wa ng’ombe ninaousikia ni kitu gani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samweli akasema, Maana yake nini, basi, hiki kilio cha kondoo masikioni mwangu, na huu mlio wa ng'ombe ninaousikia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli akamwambia, “Mbona nasikia mlio wa kondoo na ng'ombe?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Samweli akasema, “Nini basi huu mlio wa kondoo masikioni mwangu? Huu mlio wa ng'ombe ninaousikia ni kitu gani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Samweli akasema, “Nini basi huu mlio wa kondoo masikioni mwangu? Huu mlio wa ng’ombe ninaousikia ni kitu gani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samweli akasema, Maana yake nini basi, hiki kilio cha kondoo masikioni mwangu, na huu mlio wa ng'ombe ninaousikia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli akamwambia, “Mbona nasikia mlio wa kondoo na ng'ombe?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samweli akajibu: Je? Hiki kilio cha mbuzi na cha kondoo masikioni mwangu kinatoka wapi? Nacho kilio cha ng'ombe, ninachokisikia, kinatoka wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samweli akasema, Maana yake nini, basi, hiki kilio cha kondoo masikioni mwangu, na huu mlio wa ng’ombe ninaousikia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli akamwambia: “Mbona ninasikia mulio wa kondoo na ngombe?”