1 Samuel 15:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini basi, hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu? Kwa nini mkakimbilia nyara na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Mwenyezi-Mungu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini hukumtii Mwenyezi Mungu? Kwa nini ulivamia nyara na kufanya uovu machoni pa Mwenyezi Mungu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona, basi, hukuitii sauti ya Bwana, bali ukazirukia nyara ukafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini basi, hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu? Kwa nini mkakimbilia nyara na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Mwenyezi-Mungu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini hukumtii BWANA? Kwa nini ulivamia nyara na kufanya uovu machoni pa BWANA?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini hukumtii bwana? Kwa nini ulivamia nyara na kufanya uovu machoni pa bwana?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona basi hukuitii sauti ya BWANA, bali ukazirukia nyara ukafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini basi, hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu? Kwa nini mkakimbilia nyara na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Mwenyezi-Mungu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona hukukiitikia kinywa cha Bwana? Mbona umeyageukia hayo mateka, ukayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona, basi, hukuitii sauti ya BWANA, bali ukazirukia nyara ukafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini basi, haukuitii sauti ya Yawe? Kwa nini mukakimbilia vitu kwa kuvinyanganya na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Yawe?”