1 Samuel 15:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli akajibu, “Nimetii sauti ya Mwenyezi-Mungu. Nilikwenda kule alikonituma Mwenyezi-Mungu; nimemleta Agagi mfalme wa Waamaleki, na nimewaangamiza kabisa Waamaleki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akasema, “Lakini nilimtii Mwenyezi Mungu. Nilikamilisha ile kazi ambayo Mwenyezi Mungu alinituma. Niliwaangamiza Waamaleki kabisa na kumleta Agagi mfalme wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli akamwambia Samweli, Hakika mimi nimeitii sauti ya Bwana, nami nimemleta Agagi, mfalme wa Waamaleki, tena nimewaangamiza Waamaleki kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli akajibu, “Nimetii sauti ya Mwenyezi-Mungu. Nilikwenda kule alikonituma Mwenyezi-Mungu; nimemleta Agagi mfalme wa Waamaleki, na nimewaangamiza kabisa Waamaleki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akasema, “Lakini nilimtii BWANA. Nilikamilisha ile kazi BWANA aliyonituma. Niliwaangamiza Waamaleki kabisa na kumleta Agagi mfalme wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akasema, “Lakini nilimtii bwana. Nilikamilisha ile kazi ambayo bwana alinituma. Niliwaangamiza Waamaleki kabisa na kumleta Agagi mfalme wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli akamwambia Samweli, Hakika mimi nimeitii sauti ya BWANA, nami nimemleta Agagi, mfalme wa Waamaleki, tena nimewaangamiza Waamaleki kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli akajibu, “Nimetii sauti ya Mwenyezi-Mungu. Nilikwenda kule alikonituma Mwenyezi-Mungu; nimemleta Agagi mfalme wa Waamaleki, na nimewaangamiza kabisa Waamaleki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akamwambia Samweli: Kweli, nimekiitikia kinywa cha Bwana nikaishika njia, Bwana aliyonituma, nikamteka Agagi, mfalme wa Waamaleki, nao Waamaleki nikawatia mwiko wa kuwapo, wauawe;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli akamwambia Samweli, Hakika mimi nimeitii sauti ya BWANA, nami nimemleta Agagi, mfalme wa Waamaleki, tena nimewaangamiza Waamaleki kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akajibu: “Nimetii sauti ya Yawe. Nilikwenda kule Yawe alikonituma; nimemuleta Agagi mufalme wa Waamaleki, na nimewaangamiza kabisa Waamaleki.