1 Samuel 15:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watu walichukua nyara: Kondoo, ng'ombe na vitu vyote bora vilivyotolewa viangamizwe ili kumtambikia Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, huko Gilgali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Askari walichukua kondoo na ng’ombe kutoka nyara, kutoka kwa wale wazuri sana katika vitu vilivyotengewa Mungu, ili wavitoe kuwa dhabihu kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wako, huko Gilgali.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila watu waliteka nyara, kondoo na ng'ombe walio wazuri, katika vitu vilivyowekwa wakfu, kusudi wavitoe dhabihu kwa Bwana, Mungu wako, huko Gilgali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watu walichukua nyara: kondoo, ng'ombe na vitu vyote bora vilivyotolewa viangamizwe ili kumtambikia Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, huko Gilgali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Askari walichukua kondoo na ng'ombe kutoka kwenye nyara, zile ambazo ni nzuri sana zimewekwa wakfu kwa Mungu, ili zitolewe dhabihu kwa BWANA Mungu wako huko Gilgali.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Askari walichukua kondoo na ng’ombe kutoka kwenye nyara, zile ambazo ni nzuri sana zimewekwa wakfu kwa Mungu, ili zitolewe dhabihu kwa bwana Mwenyezi Mungu wako huko Gilgali.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila watu waliteka nyara, kondoo na ng'ombe walio wazuri, katika vitu vilivyowekwa wakfu, kusudi wavitoe dhabihu kwa BWANA, Mungu wako, huko Gilgali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watu walichukua nyara: Kondoo, ng'ombe na vitu vyote bora vilivyotolewa viangamizwe ili kumtambikia Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, huko Gilgali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ni watu tu waliovunja mwiko kwa kuchukua katika hayo mateka mbuzi na kondoo na ng'ombe waliokuwa wazuri mno, wawe ng'ombe za kumtambikia Bwana Mungu wako huku Gilgali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila watu waliteka nyara, kondoo na ng’ombe walio wazuri, katika vitu vilivyowekwa wakfu, kusudi wavitoe dhabihu kwa BWANA, Mungu wako, huko Gilgali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu walinyanganya vitu: kondoo, ngombe na vitu vyote bora vilivyolaaniwa kwa kumutolea Yawe, Mungu wako, kule Gilgali.”