1 Samuel 15:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa nakuomba, unisamehe dhambi yangu. Niruhusu nirudi pamoja nawe ili niweze kumwabudu Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa ninakusihi usamehe dhambi yangu, nawe urudi pamoja nami, ili nipate kumwabudu Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, nakuomba, unisamehe dhambi yangu; rudi pamoja nami, nipate kumwabudu Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa nakuomba, unisamehe dhambi yangu. Niruhusu nirudi pamoja nawe ili niweze kumwabudu Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa ninakusihi, usamehe dhambi yangu nawe urudi pamoja nami, ili nipate kumwabudu BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa ninakusihi usamehe dhambi yangu, nawe urudi pamoja nami, ili nipate kumwabudu bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, nakuomba, unisamehe dhambi yangu; rudi pamoja nami, nipate kumwabudu BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa nakuomba, unisamehe dhambi yangu. Niruhusu nirudi pamoja nawe ili niweze kumwabudu Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa liondoe hili kosa langu! Rudi pamoja na mimi, nije kumwangukia Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, nakuomba, unisamehe dhambi yangu; rudi pamoja nami, nipate kumwabudu BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa ninakuomba, unisamehe zambi yangu. Uniruhusu nirudi pamoja nawe kusudi niweze kumwabudu Yawe.”