1 Samuel 15:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli akamjibu: “Kamwe, siwezi kurudi pamoja nawe. Wewe umeikataa amri ya Mwenyezi-Mungu, naye amekukataa kuwa mfalme juu ya Israeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Samweli akamwambia, “Sitarudi pamoja nawe. Umelikataa neno la Mwenyezi Mungu, naye Mwenyezi Mungu amekukataa wewe, usiendelee kuwa mfalme juu ya Israeli!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samweli akasema, Sitarudi pamoja nawe; kwa sababu umelikataa neno la Bwana, Bwana naye amekukataa wewe, usiwe mfalme wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli akamjibu: “Kamwe, siwezi kurudi pamoja nawe. Wewe umeikataa amri ya Mwenyezi-Mungu, naye amekukataa kuwa mfalme juu ya Israeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Samweli akamwambia, “Sitarudi pamoja nawe. Umelikataa neno la BWANA, nawe BWANA amekukataa wewe usiendelee kuwa mfalme juu ya Israeli!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Samweli akamwambia, “Sitarudi pamoja nawe. Umelikataa neno la bwana, naye bwana amekukataa wewe, usiendelee kuwa mfalme juu ya Israeli!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samweli akasema, Sitarudi pamoja nawe; kwa sababu umelikataa neno la BWANA, BWANA naye amekukataa wewe, usiwe mfalme wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli akamjibu: “Kamwe, siwezi kurudi pamoja nawe. Wewe umeikataa amri ya Mwenyezi-Mungu, naye amekukataa kuwa mfalme juu ya Israeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samweli akamwambia Sauli: Sitarudi pamoja na wewe, kwani umelitangua neno lake Bwana, naye Bwana amekutangua, usiwe mfalme tena wa kuwatawala Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samweli akasema, Sitarudi pamoja nawe; kwa sababu umelikataa neno la BWANA, BWANA naye amekukataa wewe, usiwe mfalme wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli akamujibu: “Siwezi hata kidogo kurudi pamoja nawe. Wewe umeikataa amri ya Yawe, naye amekukataa kuwa mufalme juu ya Israeli.”