1 Samuel 15:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na Mungu ambaye ni utukufu wa Israeli hadanganyi, wala habadili wazo lake. Yeye si binadamu hata abadili mawazo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye aliye Utukufu wa Israeli hasemi uongo wala hana kigeugeu; kwa kuwa yeye si mwanadamu, hata abadili nia yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Yeye aliye Nguvu za Israeli hatanena uongo, wala hataona majuto; maana siye mwanadamu, hata ajute.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na Mungu ambaye ni utukufu wa Israeli hadanganyi, wala habadili wazo lake. Yeye si binadamu hata abadili mawazo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye aliye Utukufu wa Israeli hasemi uongo wala hana kigeugeu, kwa kuwa yeye si mwanadamu, hata abadili nia yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye aliye Utukufu wa Israeli hasemi uongo wala hana kigeugeu; kwa kuwa yeye si mwanadamu, hata abadili nia yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Yeye aliye Nguvu za Israeli hatanena uongo, wala hataona majuto; maana si mwanadamu, hata ajute.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na Mungu ambaye ni utukufu wa Israeli hadanganyi, wala habadili wazo lake. Yeye si binadamu hata abadili mawazo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye yeye aliye utukufu wa Waisiraeli hasemi uwongo, wala hageuzi moyo, kwani si mtu, ageuze moyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Yeye aliye Nguvu za Israeli hatanena uongo, wala hataona majuto; maana siye mwanadamu, hata ajute.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Mungu ambaye ni utukufu wa Israeli hadanganyi, wala habadilishi wazo lake. Yeye si mwanadamu hata apate kubadilisha mawazo.”