1 Samuel 15:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Samueli akarudi pamoja naye mpaka Gilgali na Shauli akamwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Samweli akarudi pamoja na Sauli, naye Sauli akamwabudu Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Samweli akarudi na kuandamana na Sauli; naye Sauli akamwabudu Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Samueli akarudi pamoja naye mpaka Gilgali na Shauli akamwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Samweli akarudi pamoja na Sauli, naye Sauli akamwabudu BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Samweli akarudi pamoja na Sauli, naye Sauli akamwabudu bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Samweli akarudi na kuandamana na Sauli; naye Sauli akamwabudu BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Samueli akarudi pamoja naye mpaka Gilgali na Shauli akamwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Samweli aliporudi na kumfuata Sauli, naye Sauli akaja kumwangukia Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Samweli akarudi na kuandamana na Sauli; naye Sauli akamwabudu BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Samweli akarudi pamoja naye mpaka Gilgali na Saulo akamwabudu Yawe.