1 Samuel 15:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Samueli akaenda Rama; na mfalme Shauli akarudi nyumbani kwake huko Gibea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Samweli akaenda Rama, lakini Sauli akapanda nyumbani mwake huko Gibea ya Sauli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada ya hayo Samweli akaenda zake kule Rama; naye Sauli akakwea kwenda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Samueli akaenda Rama; na mfalme Shauli akarudi nyumbani kwake huko Gibea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Samweli akaenda Rama, lakini Sauli akapanda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Samweli akaenda Rama, lakini Sauli akapanda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baada ya hayo Samweli akaenda zake kule Rama; naye Sauli akakwea kwenda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Samueli akaenda Rama; na mfalme Shauli akarudi nyumbani kwake huko Gibea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samweli akaenda Rama, naye Sauli akapanda nyumbani kwake huko Gibea wa Sauli. Samweli hakumwona Sauli tena mpaka siku ya kufa kwake; kwani Samweli alisikitika kwa ajili ya Sauli, kwa sababu Bwana ameona majonzi, kwa kuwa alimweka Sauli kuwa mfalme wa kuwatawala Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada ya hayo Samweli akaenda zake kule Rama; naye Sauli akakwea kwenda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Samweli akaenda Rama; na mufalme Saulo akarudi kwenye nyumba yake kule Gibea.