1 Samuel 15:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli akaliita jeshi lake, akalikagua huko Telaimu. Kulikuwa na askari wa miguu 200,000 kutoka Israeli na 10,000 kutoka Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Sauli akawaita watu na kuwapanga huko Telaimu, askari wa miguu elfu mia mbili, na elfu kumi kutoka Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sauli akawaita watu, akawahesabu huko Telemu, askari waliopanda farasi mia mbili elfu, na watu wa Yuda kumi elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli akaliita jeshi lake, akalikagua huko Telaimu. Kulikuwa na askari wa miguu 200,000 kutoka Israeli na 10,000 kutoka Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Sauli akawaita watu na kuwapanga huko Telaimu, askari wa miguu 200,000 pamoja na watu 10,000 kutoka Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Sauli akawaita watu na kuwapanga huko Telaimu, askari wa miguu 200,000 pamoja na watu 10,000 kutoka Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sauli akawaita watu, akawahesabu huko Telemu, askari wa miguu elfu mia mbili na watu elfu kumi wa Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli akaliita jeshi lake, akalikagua huko Telaimu. Kulikuwa na askari wa miguu 200,000 kutoka Israeli na 10,000 kutoka Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akawapasha watu habari hii, akawakagua huko Telaimu, wakawa 200000 wanaokwenda kwa miguu, nao Wayuda 10000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sauli akawaita watu, akawahesabu huko Telemu, askari waliopanda farasi mia mbili elfu, na watu wa Yuda kumi elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akaita waaskari wake, akawahesabu kule Telaimu. Kulikuwa waaskari wa miguu elfu mia mbili kutoka katika inchi ya Israeli na elfu kumi kutoka inchi ya Yuda.