1 Samuel 15:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu yeye na watu wake wakaenda kwenye mji wa Amaleki, wakawa wakivizia kwenye bonde.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akaenda katika mji wa Amaleki na kuwavizia bondeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli akaufikilia mji wa Amaleki, akauvizia bondeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu yeye na watu wake wakaenda kwenye mji wa Amaleki, wakawa wakivizia kwenye bonde.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akaenda katika mji wa Amaleki na kuwavizia bondeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akaenda katika mji wa Amaleki na kuwavizia bondeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli akaufikia mji wa Amaleki, akauvizia bondeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu yeye na watu wake wakaenda kwenye mji wa Amaleki, wakawa wakivizia kwenye bonde.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli alipofika penye mji wa Waamaleki, akawavizia mtoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli akaufikilia mji wa Amaleki, akauvizia bondeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu yeye na watu wake wakaenda kwenye muji wa Amaleki, wakajificha wakivizia katika bonde.