1 Samuel 15:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Sauli akawashambulia Waamaleki toka Havila hadi Shuri, mashariki mwa Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli akawapiga Waamaleki, toka Havila uendapo Shuri, unaokabili Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Sauli akawashambulia Waamaleki toka Havila mpaka Shuri, hadi mashariki ya Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Sauli akawashambulia Waamaleki toka Havila mpaka Shuri, hadi mashariki ya Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli akawapiga Waamaleki, toka Havila hadi Shuri, mashariki mwa Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Sauli akawapiga Waamaleki toka Hawila, hata mtu afike Suri ulioelekea Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli akawapiga Waamaleki, toka Havila uendapo Shuri, unaokabili Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila mpaka Suri, kwa upande wa mashariki wa Misri.