1 Samuel 15:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimteka mfalme Agagi wa Waamaleki akiwa hai. Akawaua watu kwa makali ya upanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamchukua Agagi mfalme wa Waamaleki akiwa hai, nao watu wake wote akawaangamiza kabisa kwa upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamkamata Agagi, mfalme wa Waamaleki, yu hai, akawaangamiza hao watu wote kwa upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimteka mfalme Agagi wa Waamaleki akiwa hai. Akawaua watu kwa makali ya upanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamchukua Agagi, mfalme wa Waamaleki akiwa hai, nao watu wake wote akawaangamiza kabisa kwa upanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamchukua Agagi, mfalme wa Waamaleki akiwa hai, nao watu wake wote akawaangamiza kabisa kwa upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamkamata Agagi, mfalme wa Waamaleki akiwa hai, akawaangamiza hao watu wote kwa upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimteka mfalme Agagi wa Waamaleki akiwa hai. Akawaua watu kwa makali ya upanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamteka Agagi, mfalme wa Waamaleki, yu hai, lakini watu wote akawaua kwa ukali wa panga kwa kuwatia mwiko wa kuwapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamkamata Agagi, mfalme wa Waamaleki, yu hai, akawaangamiza hao watu wote kwa upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimukamata mateka mufalme Agagi wa Waamaleki akiwa angali muzima. Akawaua watu kwa makali ya upanga.