1 Samuel 16:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yese aliwapitisha wanawe wote saba mbele ya Samueli lakini Samueli akamwambia, “Mwenyezi-Mungu hajamchagua yeyote kati ya hawa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yese alikuwa na wana saba aliowapitisha mbele ya Samweli, lakini Samweli akamwambia, “Mwenyezi Mungu hajawachagua hawa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yese akawapitisha wanawe saba mbele ya Samweli. Samweli akamwambia Yese, Bwana hakuwachagua hawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yese aliwapitisha wanawe wote saba mbele ya Samueli lakini Samueli akamwambia, “Mwenyezi-Mungu hajamchagua yeyote kati ya hawa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yese alikuwa na wana saba aliowapitisha mbele ya Samweli, lakini Samweli akamwambia, “BWANA hajawachagua hawa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yese alikuwa na wana saba aliowapitisha mbele ya Samweli, lakini Samweli akamwambia, “ bwana hajawachagua hawa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yese akawapitisha wanawe saba mbele ya Samweli. Samweli akamwambia Yese, BWANA hakuwachagua hawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yese aliwapitisha wanawe wote saba mbele ya Samueli lakini Samueli akamwambia, “Mwenyezi-Mungu hajamchagua yeyote kati ya hawa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vivyo hivyo Isai akawapitisha wanawe wote saba machoni pa Samweli, lakini Samweli akamwambia Isai: Hawa sio, Bwana aliowachagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yese akawapitisha wanawe saba mbele ya Samweli. Samweli akamwambia Yese, BWANA hakuwachagua hawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yese aliwapitisha wana wake wote saba mbele ya Samweli lakini Samweli akamwambia: “Yawe hajamuchagua mutu yeyote kati ya hawa.”