1 Samuel 16:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye roho ya Mwenyezi-Mungu ilimwacha Shauli, na roho mwovu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ikamsumbua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Roho wa Mwenyezi Mungu alikuwa ameondoka kwa Sauli, nayo roho mbaya ikaachiwa nafasi na Mwenyezi Mungu ili imtese.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, roho ya Bwana ilikuwa imemwacha Sauli, na roho mbaya kutoka kwa Bwana ikamsumbua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye roho ya Mwenyezi-Mungu ilimwacha Shauli, na roho mwovu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ikamsumbua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Roho wa BWANA alikuwa ameondoka kwa Sauli, nayo roho mbaya ikaachiwa nafasi na BWANA ili imtese.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Roho wa bwana alikuwa ameondoka kwa Sauli, nayo roho mbaya ikaachiwa nafasi na bwana ili imtese.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Roho ya BWANA ilikuwa imemwacha Sauli, na roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamsumbua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye roho ya Mwenyezi-Mungu ilimwacha Shauli, na roho mwovu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ikamsumbua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Royo yake Bwana ikaondoka mwake Sauli, nayo roho mbaya iliyotoka kwa Bwana ikamhangaisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, roho ya BWANA ilikuwa imemwacha Sauli, na roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamsumbua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha roho wa Yawe alimwacha Saulo, na pepo muchafu kutoka kwa Yawe akamusumbua.