1 Samuel 16:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo watumishi wake Shauli wakamwambia, “Tunajua kwamba roho mwovu kutoka kwa Mungu anakusumbua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wa Sauli wakamwambia, “Tazama, roho mbaya imeachiwa nafasi na Mwenyezi Mungu nayo inakutesa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watumishi wa Sauli wakamwambia, Angalia, sasa roho mbaya kutoka kwa Mungu inakusumbua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo watumishi wake Shauli wakamwambia, “Tunajua kwamba roho mwovu kutoka kwa Mungu anakusumbua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watumishi wa Sauli wakamwambia, “Angalia, roho mbaya imeachiwa nafasi na BWANA nayo inakutesa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wa Sauli wakamwambia, “Angalia, roho mbaya imeachiwa nafasi na bwana nayo inakutesa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watumishi wa Sauli wakamwambia, Angalia, sasa roho mbaya kutoka kwa Mungu inakusumbua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo watumishi wake Shauli wakamwambia, “Tunajua kwamba roho mwovu kutoka kwa Mungu anakusumbua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watumishi wa Sauli walipomwambia: Tazama, roho mbaya ya Mungu inakuhangaisha!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watumishi wa Sauli wakamwambia, Angalia, sasa roho mbaya kutoka kwa Mungu inakusumbua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu watumishi wa Saulo wakamwambia: “Tunajua kwamba pepo muchafu kutoka kwa Mungu anakusumbua.