1 Samuel 16:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alipofika akaingia kumtumikia Shauli. Shauli alimpenda sana, hata akamfanya awe mwenye kumbebea silaha zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akafika kwa Sauli na kuingia kwenye kazi yake. Sauli akampenda sana, naye Daudi akawa mmoja wa wabeba silaha wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akamwendea Sauli, akasimama mbele yake, naye akampenda sana; naye akapata kuwa mtu wa kumchukulia silaha zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alipofika akaingia kumtumikia Shauli. Shauli alimpenda sana, hata akamfanya awe mwenye kumbebea silaha zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akafika kwa Sauli na kuingia kwenye kazi yake. Sauli akampenda sana, naye Daudi akawa mmoja wa wabeba silaha zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akafika kwa Sauli na kuingia kwenye kazi yake. Sauli akampenda sana, naye Daudi akawa mmoja wa wabeba silaha wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akamwendea Sauli, akasimama mbele yake, naye akampenda sana; naye akawa mtu wa kumchukulia silaha zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alipofika akaingia kumtumikia Shauli. Shauli alimpenda sana, hata akamfanya awe mwenye kumbebea silaha zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Dawidi alivyokwenda kwake Sauli, akamfanyizia kazi. Sauli akampenda sana, akawa mchukua mata yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akamwendea Sauli, akasimama mbele yake, naye akampenda sana; naye akapata kuwa mtu wa kumchukulia silaha zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alipofika akaingia kwa kumutumikia Saulo. Saulo alimupenda sana, hata akamufanya akuwe mwenye kumubebea silaha zake.