1 Samuel 16:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwalike Yese kwenye tambiko hiyo nami nitakuonesha la kufanya. Utampaka mafuta kwa ajili yangu mtu yule nitakayekutajia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwalike Yese aje kwenye dhabihu, nami nitakuonesha utakalofanya. Utanipakia mafuta yule nitakuonesha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukamwite Yese aje kwenye dhabihu, nami nitakuonyesha utakayotenda; nawe utamtia mafuta yule nitakayemtaja kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwalike Yese kwenye tambiko hiyo nami nitakuonesha la kufanya. Utampaka mafuta kwa ajili yangu mtu yule nitakayekutajia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwalike Yese aje kwenye dhabihu, nami nitakuonyesha utakalofanya. Utamtia mafuta kwa ajili yangu yule nitakayekuonyesha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwalike Yese aje kwenye dhabihu, nami nitakuonyesha utakalofanya. Utamtia mafuta kwa ajili yangu yule nitakayekuonyesha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umwalike Yese aje kwenye dhabihu, nami nitakuonesha utakayotenda; nawe utampaka mafuta yule nitakayemtaja kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwalike Yese kwenye tambiko hiyo nami nitakuonesha la kufanya. Utampaka mafuta kwa ajili yangu mtu yule nitakayekutajia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwalike Isai, naye aje kwenye tambiko hilo! Nami nitakujulisha utakayoyafanya, unipakie mafuta yeye, nitakayekuonyesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukamwite Yese aje kwenye dhabihu, nami nitakuonyesha utakayotenda; nawe utamtia mafuta yule nitakayemtaja kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umwalike Yese kwenye sadaka hiyo nami nitakuonyesha la kufanya. Utamupakaa mafuta kwa ajili yangu mutu yule nitakayekutajia.”