1 Samuel 16:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipofika, na Samueli alipomwona Eliabu, alijisemea moyoni mwake, “Hakika, mpakwa mafuta wa Mwenyezi-Mungu ndiye huyu aliye mbele ya Mwenyezi-Mungu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipofika, Samweli akamwona Eliabu, naye akafikiri, “Hakika mpakwa mafuta wa Mwenyezi Mungu anasimama hapa mbele za Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa walipokuja, alimtazama Eliabu, akasema, Yakini masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipofika, na Samueli alipomwona Eliabu, alijisemea moyoni mwake, “Hakika, mpakwa mafuta wa Mwenyezi-Mungu ndiye huyu aliye mbele ya Mwenyezi-Mungu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipofika, Samweli akamwona Eliabu, naye akafikiri, “Hakika mpakwa mafuta wa BWANA anasimama hapa mbele za BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipofika, Samweli akamwona Eliabu, naye akafikiri, “Hakika mpakwa mafuta wa bwana anasimama hapa mbele za bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa walipokuja, alimtazama Eliabu, akasema, Yakini masihi wa BWANA yupo hapa mbele zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipofika, na Samueli alipomwona Eliabu, alijisemea moyoni mwake, “Hakika, mpakwa mafuta wa Mwenyezi-Mungu ndiye huyu aliye mbele ya Mwenyezi-Mungu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, walipokuja, alipomwona Eliabu akasema moyoni: Labda ni yeye atakayepakwa mafuta mbele yake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa walipokuja, alimtazama Eliabu, akasema, Yakini masihi wa BWANA yupo hapa mbele zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipofika, naye Samweli alipomwona Eliabu, alijisemesha ndani ya moyo wake: “Hakika, muchaguliwa wa Yawe ndiye huyu anayekuwa mbele ya Yawe!”