1 Samuel 16:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Yese akamwita Abinadabu na kumleta mbele ya Samueli. Lakini Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yese akamwita Abinadabu na kumpitisha mbele ya Samweli. Lakini Samweli akasema, “Hata huyu Mwenyezi Mungu hakumchagua.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yese akamwita Abinadabu, akampitisha mbele ya Samweli. Naye akasema, Bwana hakumchagua huyu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Yese akamwita Abinadabu na kumleta mbele ya Samueli. Lakini Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yese akamwita Abinadabu na kumpitisha mbele ya Samweli. Lakini Samweli akasema, “Hata huyu BWANA hakumchagua.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yese akamwita Abinadabu na kumpitisha mbele ya Samweli. Lakini Samweli akasema, “Hata huyu bwana hakumchagua.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yese akamwita Abinadabu, akampitisha mbele ya Samweli. Naye akasema, BWANA hakumchagua huyu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Yese akamwita Abinadabu na kumleta mbele ya Samueli. Lakini Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Isai akamwita Abinadabu, akampitisha machoni pa Samweli, naye akasema: Huyu naye siye, Bwana aliyemchagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yese akamwita Abinadabu, akampitisha mbele ya Samweli. Naye akasema, BWANA hakumchagua huyu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Yese akamwita Abinadabu na kumuleta mbele ya Samweli. Lakini Samweli akasema: “Wala huyu hakuchaguliwa na Yawe.”