1 Samuel 16:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yese akamleta Shama. Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yese akampitisha Shama, lakini Samweli akasema, “Wala huyu Mwenyezi Mungu hakumchagua.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yese akampitisha Shama. Naye akasema, wala Bwana hakumchagua huyu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yese akamleta Shama. Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yese akampitisha Shama, lakini Samweli akasema, “Wala huyu BWANA hakumchagua.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yese akampitisha Shama, lakini Samweli akasema, “Wala huyu bwana hakumchagua.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yese akampitisha Shama. Naye akasema, Wala BWANA hakumchagua huyu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yese akamleta Shama. Samueli akasema, “Wala huyu hakuchaguliwa na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Isai akampitisha Sama, lakini akasema: Huyu naye siye, Bwana aliyemchagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yese akampitisha Shama. Naye akasema, wala BWANA hakumchagua huyu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yese akamuleta Shama. Samweli akasema: “Wala huyu hakuchaguliwa na Yawe.”