1 Samuel 17:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, Wafilisti walikusanya majeshi yao huko Soko, mji ulioko katika Yuda, tayari kwa vita. Walipiga kambi katika sehemu moja iitwayo Efes-damimu kati ya Soko na Azeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Wafilisti wakakusanya majeshi yao kwa ajili ya vita, nao wakakusanyika huko Soko katika Yuda. Wakapiga kambi huko Efes-Damimu, kati ya Soko na Azeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo Wafilisti walikusanya majeshi yao kwa vita, nao wakakusanyika huko Soko, ulio mji wa Yuda, wakatua kati ya Soko na Azeka, katika Efes-damimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, Wafilisti walikusanya majeshi yao huko Soko, mji ulioko katika Yuda, tayari kwa vita. Walipiga kambi katika sehemu moja iitwayo Efes-damimu kati ya Soko na Azeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huu Wafilisti wakakusanya majeshi yao kwa ajili ya vita nao wakakusanyika huko Soko katika Yuda. Wakapiga kambi huko Efes-Damimu, kati ya Soko na Azeka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huu Wafilisti wakakusanya majeshi yao kwa ajili ya vita, nao wakakusanyika huko Soko katika Yuda. Wakapiga kambi huko Efes-Damimu, kati ya Soko na Azeka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo Wafilisti walikusanya majeshi yao kwa ajili ya vita, nao wakakusanyika huko Soko, ulio mji wa Yuda, wakatua kati ya Soko na Azeka, katika Efes-damimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, Wafilisti walikusanya majeshi yao huko Soko, mji ulioko katika Yuda, tayari kwa vita. Walipiga kambi katika sehemu moja iitwayo Efes-damimu kati ya Soko na Azeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafilisti wakavikusanya vikosi vyao kwenda vitani, wakakusanyika Soko katika nchi ya Yuda, wakapiga makambi Efesi-Damimu katikati ya Soko na Azeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo Wafilisti walikusanya majeshi yao kwa vita, nao wakakusanyika huko Soko, ulio mji wa Yuda, wakatua kati ya Soko na Azeka, katika Efes-damimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini walikusanya makundi yao ya waaskari kule Soko, muji unaokuwa katika inchi ya Yuda, tayari kwa vita. Walipiga kambi katika sehemu moja inayoitwa Efesi-Damimu kati ya Soko na Azeka.