1 Samuel 17:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alikuwa ndiye mdogo wa wote. Wale watoto watatu wakubwa walikuwa wamekwenda na Shauli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi ndiye alikuwa mdogo wa wote. Hao wakubwa watatu wakamfuata Sauli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye huyo Daudi alikuwa mdogo wa wote; na hao watatu waliokuwa wakubwa wakafuatana na Sauli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alikuwa ndiye mdogo wa wote. Wale watoto watatu wakubwa walikuwa wamekwenda na Shauli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi ndiye aliyekuwa mdogo wa wote. Hao wakubwa watatu wakamfuata Sauli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi ndiye alikuwa mdogo wa wote. Hao wakubwa watatu wakamfuata Sauli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye huyo Daudi alikuwa mdogo wa wote; na hao watatu waliokuwa wakubwa wakafuatana na Sauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alikuwa ndiye mdogo wa wote. Wale watoto watatu wakubwa walikuwa wamekwenda na Shauli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Dawidi alikuwa mdogo; kwa kuwa wale wakubwa watatu walikuwa wamemfuata Sauli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye huyo Daudi alikuwa mdogo wa wote; na hao watatu waliokuwa wakubwa wakafuatana na Sauli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alikuwa ndiye mudogo kati ya wote. Wale watoto watatu wakubwa walikuwa wamekwenda na Saulo.