1 Samuel 17:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingawa Daudi mara kwa mara alikwenda kwa Shauli, alirudi nyumbani Bethlehemu kuchunga kondoo wa baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini Daudi alikuwa akienda kwa Sauli na kurudi ili kuchunga kondoo wa baba yake huko Bethlehemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi alikuwa akienda kwa Sauli na kurudi ili awalishe kondoo za baba yake huko Bethlehemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingawa Daudi mara kwa mara alikwenda kwa Shauli, alirudi nyumbani Bethlehemu kuchunga kondoo wa baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini Daudi alikuwa akienda kwa Sauli na kurudi ili kuchunga kondoo za baba yake huko Bethlehemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini Daudi alikuwa akienda kwa Sauli na kurudi ili kuchunga kondoo wa baba yake huko Bethlehemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi alikuwa akienda kwa Sauli na kurudi ili awalishe kondoo za baba yake huko Bethlehemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingawa Daudi mara kwa mara alikwenda kwa Shauli, alirudi nyumbani Bethlehemu kuchunga kondoo wa baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akatoka mara kwa mara kwake Sauli kwenda kuchunga kondoo wa baba yake huko Beti-Lehemu, kisha akarudi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi alikuwa akienda kwa Sauli na kurudi ili awalishe kondoo za baba yake huko Bethlehemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa Daudi mara kwa mara alikwenda kwa Saulo, alirudi kwenda Betelehemu kuchunga kondoo wa baba yake.