1 Samuel 17:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa muda wa siku arubaini, asubuhi na jioni, yule Mfilisti Goliathi alijitokeza hadharani, akasimama na kuwakejeli wanajeshi wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa siku arobaini huyo Mfilisti alikuwa akija mbele kila siku asubuhi na jioni na kujionesha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye yule Mfilisti hukaribia asubuhi na jioni, akajitokeza siku arobaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa muda wa siku arubaini, asubuhi na jioni, yule Mfilisti Goliathi alijitokeza hadharani, akasimama na kuwakejeli wanajeshi wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa siku arobaini huyo Mfilisti alikuwa akija mbele kila siku asubuhi na jioni na kujionyesha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa siku arobaini huyo Mfilisti alikuwa akija mbele kila siku asubuhi na jioni na kujionyesha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa siku arobaini yule Mfilisti alijitokeza na kusimama mbele asubuhi na jioni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa muda wa siku arubaini, asubuhi na jioni, yule Mfilisti Goliathi alijitokeza hadharani, akasimama na kuwakejeli wanajeshi wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule Mfilisti akatoka asubuhi na jioni siku 40 akija kujisimamisha papo hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye yule Mfilisti hukaribia asubuhi na jioni, akajitokeza siku arobaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa muda wa siku makumi ine, asubui na magaribi, yule Mufilistini Goliati alijitokeza, akasimama na kuwazarau waaskari wa Waisraeli.