1 Samuel 17:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na yule kamanda wao wa kikosi cha wanajeshi elfu mpelekee jibini hizi kumi. Kawaangalie kaka zako kama wanaendelea vizuri na kisha uniletee habari zao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chukua pamoja na hizi jibini kumi kwa jemadari wa kikosi chao. Ujue hali ya ndugu zako na uniletee taarifa za uhakika kutoka kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukampelekee akida wa elfu yao jibini hizi kumi, ukawaangalie, wa hali gani, kisha uniletee jawabu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na yule kamanda wao wa kikosi cha wanajeshi elfu mpelekee jibini hizi kumi. Kawaangalie kaka zako kama wanaendelea vizuri na kisha uniletee habari zao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chukua pamoja na hizi jibini kumi kwa jemadari wa kikosi chao. Ujue hali ya ndugu zako na uniletee taarifa za uhakika kutoka kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chukua pamoja na hizi jibini kumi kwa jemadari wa kikosi chao. Ujue hali ya ndugu zako na uniletee taarifa za uhakika kutoka kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mpelekee kamanda wa kikosi chao jibini hizi kumi, ukawaangalie, wako hali gani, kisha uniletee habari zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na yule kamanda wao wa kikosi cha wanajeshi elfu mpelekee jibini hizi kumi. Kawaangalie kaka zako kama wanaendelea vizuri na kisha uniletee habari zao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo hivi vikate kumi vya maziwa yaliyoganda umpelekee mkuu wa elfu, upate kuwatazama kaka zako, kama hawajambo, nao na wakupe kitu cha kwao, ukilete!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukampelekee akida wa elfu yao jibini hizi kumi, ukawaangalie, wa hali gani, kisha uniletee jawabu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na yule mukubwa wa kundi la waaskari elfu moja umupelekee siagi hizi kumi. Uwaangalie kaka zako kama wanaendelea vizuri na kisha uniletee habari zao.”