1 Samuel 17:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majeshi ya Waisraeli na ya Wafilisti walijipanga tayari kupigana vita, majeshi yakiwa yanakabiliana ana kwa ana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Israeli na Wafilisti walikuwa wakipanga safu zao wakitazamana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao Waisraeli na Wafilisti wakajipanga, jeshi hili likikabili jeshi hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majeshi ya Waisraeli na ya Wafilisti walijipanga tayari kupigana vita, majeshi yakiwa yanakabiliana ana kwa ana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Israeli na Wafilisti walikuwa wakipanga safu zao wakitazamana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Israeli na Wafilisti walikuwa wakipanga safu zao wakitazamana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao Waisraeli na Wafilisti wakajipanga, jeshi hili likikabili jeshi hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majeshi ya Waisraeli na ya Wafilisti walijipanga tayari kupigana vita, majeshi yakiwa yanakabiliana ana kwa ana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Waisiraeli wakajipanga ng'ambo ya huku, nao Wafilisti ng'ambo ya huko, wakaelekeana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao Waisraeli na Wafilisti wakajipanga, jeshi hili likikabili jeshi hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makundi ya waaskari ya Waisraeli na ya Wafilistini walijipanga tayari kupigana vita, makundi yakiwa yanaangaliana uso kwa uso.