1 Samuel 17:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wakamwambia kama walivyokuwa wamesema hapo awali juu ya mtu atakayemuua Goliathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakarudia yale yaliyokuwa yamesemwa na kumwambia kuwa, “Hili ndilo atakalotendewa mtu yule atakayemuua.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watu wakamjibu vivyo hivyo, wakisema, Ndivyo atakavyofanyiwa mtu yule atakayemwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wakamwambia kama walivyokuwa wamesema hapo awali juu ya mtu atakayemuua Goliathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakarudia yale yaliyokuwa yamesemwa na kumwambia kuwa, “Hili ndilo atakalotendewa mtu yule atakayemwua.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakarudia yale yaliyokuwa yamesemwa na kumwambia kuwa, “Hili ndilo atakalotendewa mtu yule atakayemuua.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watu wakamjibu vivyo hivyo, wakisema, Ndivyo atakavyofanyiwa mtu yule atakayemwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wakamwambia kama walivyokuwa wamesema hapo awali juu ya mtu atakayemuua Goliathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wale wakamwambia neno lilelile la kwamba: Hivi ndivyo, atakavyofanyiziwa mtu atakayempiga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watu wakamjibu vivyo hivyo, wakisema, Ndivyo atakavyofanyiwa mtu yule atakayemwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wakamwambia kama walivyokuwa wamesema pale mbele juu ya mutu atakayemwua Goliati.