1 Samuel 17:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti walisimama mlimani upande mmoja na Waisraeli walisimama mlimani upande mwingine, katikati yao kulikuwa na bonde.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafilisti wakawa katika kilima kimoja, na Waisraeli katika kilima kingine, nalo bonde likiwa kati yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafilisti wakasimama juu ya mlima upande huu, na Waisraeli wakasimama juu ya mlima upande huu, napo palikuwa na hilo bonde katikati.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti walisimama mlimani upande mmoja na Waisraeli walisimama mlimani upande mwingine, katikati yao kulikuwa na bonde.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafilisti wakawa katika kilima kimoja na Waisraeli katika kilima kingine, hilo bonde likiwa kati yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafilisti wakawa katika kilima kimoja na Waisraeli katika kilima kingine, hilo bonde likiwa kati yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafilisti wakasimama juu ya mlima upande huu, na Waisraeli wakasimama juu ya mlima upande huu, huku bonde likiwa katikati.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti walisimama mlimani upande mmoja na Waisraeli walisimama mlimani upande mwingine, katikati yao kulikuwa na bonde.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafilisti wakawa wamesimama mlimani ng'ambo ya huko, nao Waisiraeli wakawa wamesimama ng'ambo ya huku, bonde likiwa katikati yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafilisti wakasimama juu ya mlima upande huu, na Waisraeli wakasimama juu ya mlima upande huu, napo palikuwa na hilo bonde katikati.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini walisimama kwenye mulima upande mumoja na Waisraeli walisimama kwenye mulima upande mwingine. Katikati yao kulikuwa bonde.